Ubalozi
Ubalozi wa Jamuhuri ya Poland Dar es Salaam
Anuani: 15 Mtwara Road, Oysterbay, P.O. Box 249, Dar es Salaam
Simu: +255 22 222 10 50
Barua pepe: daressalaam.amb.sekretariat@msz.gov.pl
Twitter: @PLinTanzania
Masaa ya kazi ya Ubalozi: Jumatatu - Ijumaa saa 2:15 Asubuhi – saa 10:15 Jioni.
Sehemu ya Konsula
Anuani: 15 Mtwara Road, Oysterbay, P.O. Box 249, Dar es Salaam
Simu: +255 22 222 10 50
Barua pepe: daressalaam.amb.sekretariat@msz.gov.pl
Twitter: @PLinTanzania
Masaa ya kazi ya konsula: Jumanne, Jumatano na Alhamisi saa 3:00 Asubuhi – saa 9:00 Jioni.
Nchi zinazotumia Ubalozi huu
Tanzania, Burundi, Comoros, Malawi, Rwanda
Kufungwa kwa Ubalozi 2021
1 January | Friday | New Year |
6 January | Wednesday | Epiphany |
12 January | Tuesday | Zanzibar Revolutionary Day |
2 April | Friday | Good Friday |
5 April | Monday | Easter Monday |
7 April | Wednesday | Karume Day |
26 April | Monday | Union Day |
3 May | Monday | Polish Constitution Day |
14 May | Friday | Eid al-Fitr |
3 June | Thursday | Corpus Christi |
7 July | Wednesday | Saba Saba |
20 July | Tuesday | Eid al-Hajj |
14 October | Thursday | Mwalimu Nyerere Day |
18 October | Monday | Prophet Muhammad's Birthday |
1 November | Monday | All Saints' Day |
11 November | Thursday | Polish Independence Day |
9 December | Thursday | Tanzanian Republic Day |
Malalamiko na maoni
Tafadhali tambua kwamba malalamiko na maoni yanapokelewa:
1. Kwa kutuma kwenye anuani ya ubalozi
2. Kupitia barua pepe ya Ubalozini: daressalaam.amb.sekretariat@msz.gov.pl
Kumbuka: Malalamiko na maoni yatumwayo kwa kielectroniki yawe na jina, jina la ukoo na anuani ya mtumaji.
3. Kwa kuongea
Wanaotaka kutoa malalamiko au kutoa maoni yao kuhusu Ubalozi wanakaribishwa kwenye Ubalozi wetu.
- Jumatatu kati ya Saa 8:00 Mchana – Saa 10:00 Jioni
- Jumatano kati ya Saa 10:15 Jioni – Saa 11:15 Jioni
kwa simu au kupitia barua pepe ya utangulizi ili kuomba mihadi
Zingatia: Kwa sababu za kishirika, tungependa kuwaomba wale waotaka kuleta malalamiko binafsi kuwasiliana nasi angalau kabla ya siku mbili za kazi kwa kukutana.
4. Kwa kuleta barua ubalozini moja kwa moja (Jumatatu mpaka Ijumaa kati ya saa 2:15 Asubuhi –Saa 10:15 Jioni).