Ili kuhakikisha huduma bora zaidi, tunatumia faili ndogo zinazoitwa kuki. Wakati wa kutumia wavuti yetu, faili za kuki zinapakuliwa kwenye kifaa chako. Unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako wakati wowote. Kwa kuongezea, utumiaji wako wa wavuti yetu ni sawa na idhini yako kwa usindikaji wa data yako ya kibinafsi inayotolewa na njia za elektroniki.
Kwenda Nyuma

Tuliadhimisha Siku ya Uhuru waTanzania

12.11.2021

Wakati wa tafrija ya sherehe za kuadhimisha miaka 103 ya kupata uhuru iliyoandaliwa katika bustani za ubalozi wa Jamhuri Poland jijini Dar es salaam, Balozi Krzysztof Buzalski alisoma barua kutoka kwa Waziri SzymonSzynkowskivelSęk yenye kuwatakia kheri wanadiaspora wa Poland duniani na alikumbuka historia ya kurejesha uhuru.

11.11.Independence Day_1

Balozi Buzalski pia aliwasilisha salamu zake  kwa Wapoland waliokusanyika na kuwahimiza kudumisha mawasiliano endelevu na Ubalozi.

Mapokezi yaliyokusanya dazeni kadhaa za Wapoland na wahitimu wa Kitanzania wa vyuo vikuu vya Poland, pia yalikuwa fursa ya kuona maonyesho ya “Baba wa Uhuru” na kuonja vyakula vya jadi vya Kipoland kwa sauti  za muziki wa kisasa wa kipolishi.

Picha (8)

{"register":{"columns":[]}}