Ili kuhakikisha huduma bora zaidi, tunatumia faili ndogo zinazoitwa kuki. Wakati wa kutumia wavuti yetu, faili za kuki zinapakuliwa kwenye kifaa chako. Unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako wakati wowote. Kwa kuongezea, utumiaji wako wa wavuti yetu ni sawa na idhini yako kwa usindikaji wa data yako ya kibinafsi inayotolewa na njia za elektroniki.
Kwenda Nyuma

Ziara katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, wakati wa Siku ya Watakatifu Wote

01.11.2023

Siku ya November 1, 2023, Balozi Krzystof Buzalski pamoja na wasaidizi wake walitembelea na kuweka maua katika makaburi ya Wapoland zilizopo eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam. Ubalozi unatunza makaburi kwenye maeneo 6 nchini, yenye raia waliofuatana na jeshi la Jenerali Anders aliyewalisi Tanganyika mwaka 1942.

1 November 2023

Mnamo mwaka 2018-2021, Ubalozi ulifanya matengenezo ya makaburi ya Wapoland katika maeneo matano. Kuna mipango ya kukarabati makaburi kwenye eneo la sita (eneo lililobakia).

Picha (3)

{"register":{"columns":[]}}