Ili kuhakikisha huduma bora zaidi, tunatumia faili ndogo zinazoitwa kuki. Wakati wa kutumia wavuti yetu, faili za kuki zinapakuliwa kwenye kifaa chako. Unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako wakati wowote. Kwa kuongezea, utumiaji wako wa wavuti yetu ni sawa na idhini yako kwa usindikaji wa data yako ya kibinafsi inayotolewa na njia za elektroniki.
Kwenda Nyuma

Ziara ya Siku ya Watakatifu Wote katika makaburi ya Tengeru na Kinondoni

01.11.2021

Siku ya Watakatifu wote ilikua ni hafla ya kuwakumbuka watu waliohamishwa kutoka Poland kutokana na Vita vya Pili vya Dunia nchini Tanzania. Balozi Krzystof Buzalski pamoja na wajumbe kutoka Wizara ya Utamaduni na Urithi wa Taifa waliweka shada la maua katika makaburi ya Tengeru, na wawakilishi wengine wa ubalozi walitembelea makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

1.11.21 Tengeru_2

Ubalozi wa Jamhuri ya Poland jijini Dar es Salaam ulifanya ukarabati wa mawe mengi ya makaburi ya Poland katika makaburi matano nchini Tanzania mwaka 2018-2021, kuna mipango ya kukarabati kaburi la mwisho la sita.

Picha (3)

{"register":{"columns":[]}}