Ili kuhakikisha huduma bora zaidi, tunatumia faili ndogo zinazoitwa kuki. Wakati wa kutumia wavuti yetu, faili za kuki zinapakuliwa kwenye kifaa chako. Unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako wakati wowote. Kwa kuongezea, utumiaji wako wa wavuti yetu ni sawa na idhini yako kwa usindikaji wa data yako ya kibinafsi inayotolewa na njia za elektroniki.

Ufuatiliaji wa uthibitisho wa tafsiri

Wapi kwa kutuma maombi?

Unaweza kutuma maombi yako kwenye ofisi ya konsula iliyochaguliwa inayotoa tafsiri kutoka kwenye lugha ya dokomenti.

Je, ninatakiwa kupeleka maombi mikono?

Unaweza kuwasilisha maombi kwa mikono au kuyatuma kwa njia ya posta.

Namna gani ya kuweka miadi?

Unaweza kuweka miadi yako kupitia mfumo wa  e-konsulat /kwa simu (+255) 22 222 1050.

Ni taarifa gani ninazihitaji ili kutuma maombi?

Tafadhali andaa dokomenti orijino na tafsiri zake.

Tafadhali kumbuka:

  • Ofisa wa konsula anathibitisha hati(documents) zilizotafsiriwa kutoka kwenye Kiingereza kwenda Kipoland na kutoka kwenye Kipoland kwenda Kiingereza.
  • Ofisa wa konsula anaweza kuthibitisha ni sahihi na za kuaminika
  • Tafsiri haitaji kuwa na kiapo au mtafsiri mwenye taaluma ili iweze kuthibitishwa.
Je, inagharimu kiasi gani?

Ada kwa kila ukurasa ni USD 32.

Je, ni muda gani wa kusubiri?

Ofisa wa konsula anathibitisha tafsri bila kuchelewa vibaya, lakini sio Zaidi ya siku 30 tangu tarehe ya kujazwa.

Jinsi gani ya kupata docomenti?

Unaweza kwenda kuchukua moja kwa moja. Pia unaweza kuomba wakutumie kwa njia ya posta kama ukilipia gharama za utumaji.

Namna gani ya kukata rufaa?

Ikiwa kazi ya kutafsiri itakataliwa, ofisa wa konsula atatoa maamuzi. Unaweza kukata rufaa dhidi ya maamuzi ya Wizara ya Mambo ya Nje ndani ya siku 7. Unaweza kutuma rufaa yako kwa kutumia ofisa wa konsula ambaye alitoa maamuzi.

{"register":{"columns":[]}}